Tunasufuria nzuri Sana za nonstick hizi ni sufuria za kisasa zinakua na rangi mbalimbali na muonekano mzuri mno.
Sifa kubwa ya Nonstick sufuria hizi hazishiki chini wala kuunguza ukiwa Unapikia pia tumezingatia ubora hazitoki rangi zinakua kwenye set sufuria zake ni Nzito na pan yake nzuri mno hutumi mafuta mengi Kwenye kukaanga na haishiki chini.
Tuna brand kutoka Germany, Royal Dessin za Italy, UCC life jio exclusive n.k
Sufuria Za Nonstick picha na bei zake ;
 |
| Nonstick za Germany kubwa kg4 bei 140,000 |
 |
| Royal Dessin 175,000 |
 |
| Nonstick 140,000 |
 |
| UCC life fullset 250,000 |
 |
| Royal Dessin nonstick fullset Tsh 175,000/= |
Nonstick og full set 310,000
.jpg) |
| Royal Dessin 110,000 |
 |
| Nonstick sufuria FullSet 175,000 |
 |
| Sufuria za Pakistan nonstick og 300,000 FullSet |
 |
140,000
|
 |
| Queen time nonstick 175,000 |
 |
| Jio exclusive 185,000 |
 |
| TUSIOPENDA SUFURIA NYINGI SET YETU HII HAPA KWA TSH 75,000 TU KUBWA KG 1.5 |
Sufuria nzito za Aluminium zipo kwenye set na ujazo tofauti tofauti kutoka brand kubwa ni sufuria nzuri Sana na imara
Sufuria za Aluminium picha na bei zake ;
 |
| Chef FullSet Tsh 115,000/= |
.jpg) |
| Sufuria chungu 110,000/= |
.jpg) |
Sufuria lt 55 1pc @170,000 Sufuria lt 70 1pc@230,000 Sufuria lt 80 1pc@250,000 Sufuria lt 90 1pc@260,000 Sufuria lt 100 1pcs@270,000 Sufuria lt 130 1pcs@300,000 Sufuria lt 150 1pcs@330,000 Sufuria lt 170 1pcs@345,000 |
 |
| Sufuria aluminium za Germany 7pcs kubwa kg 4 bei Tsh 105,000/= |
 |
| Chef za Pakistan nzito Kama jiwe bei 165,000 |
 |
| Chef bei 140,000 kubwa kg 3 |
 |
| Metro nzito Haswa bei 120,000 kubwa kg 2½ |
 |
| Metro kubwa kg 10 bei 360,000 |
Sufuria nzito kubwa
Size kg 100,90,80,70,60 na 50kg
Bei Tsh jumla 2,320,000/=
Made in India
.jpg) |
| Sufuria za Seemann 235,000 kubwa kg 10,8,7 na 6 |
 |
Sufuria za king lion nzito na mifuniko yake bei 170,000 Tu kubwa kg 20,15 na 10
|
Sufuria za stainless steel, sufuria hizi ni nzuri Sana zinapikia kwenye majiko yote Hadi Yale majiko yanayochagua sufuria induction cooker nzito na nzuri mno tunabrand ya kasavilla original, zepter, king lion sufuria kubwa za kg Hadi 50.
Sufuria za stainless steel picha na bei zake;
.jpg) |
| Kasavilla og stainless 6pcs bei 150,000 |
.jpg) |
| Kasavilla bei 135,000 |
 |
160,0000
|
 |
| Sufuria kg 40+ bei 260,000 |
Karibu sana call us 0692436124 tupe Oder kwa hiyo, tupo kariakoo tunafanya delivery mikoa yote, Dar unapokea mzigo ndo unalipia
0 Reviews